February 13, 2016



Kikosi cha Yanga kinachoanza leo kwenye Uwanja wa George V katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji wake Cercle de Joachim ya Mauritius.

Beki wa kushoto Haji Mwinyi anaanzia benchi wakati nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro' amepumzishwa na nahodha wa mchezo wa leo anakuwa ni Haruna Niyonzima.

FIRST ELEVEN:
1. Ally Mustapha 'Barthez'
2. Juma abdul
3. Oscar joshua
4.Kelvin Yondani
5. Vicent Bossou
6.Thaban Kamusoko
7. Simon Msuva
8. Haruna Niyonzima (captain)
9.  Donald Ngoma
10. Hamis Tambwe
11. Deus Kaseke

SUBS:
Dida
Pato
Haji
Makapu
Nonga
Boubakar

Matheo

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic