February 11, 2016

LOGARUSIC AKIWA NA WACHEZAJI WA INTER CLUB MAZOEZINI 
Kocha wa zamani wa Simba, Zdravko Logarusic anainjoy maisha yake mapya ya kazi katika kikosi cha Inter Club cha Nagola.

Lakini hawezi kuwa na amani ya kutosha hadi atakapotimiza malengo kwa kuwa waajiri wake wapya Inter Club, wanataka kombe.

“Msimu uliopita waliishia katika nafasi ya tano, safari hii wanachotaka ni ubingwa tu na hakuna mjadala mwingine. Hivyo ninapambana,” alisema Logarusic maarufu kama Loga.

LOGA AKIWA NA BAADHI YA MAKOMBE YALIYOTWALIWA NA INTER CLUB...

Ligi Kuu Angola ni moja ya ligi kuu zenye ushindnai barani Afrika lakini Loga anajiamini anaweza kufanya vizuri.

Raia huyo wa Croatia alifanya vizuri akiwa Simba, alisifika kwa soka la kushambulia. Pia alikuwa na sifa ya kuwa kocha asiyetaka mchezo pia asiyekuwa na hofu na wachezaji wenye majina makubwa na zaidi alitaka watu wanaojituma.

.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic