February 13, 2016


Mvua imekatika na sasa Yanga na wenyeji wao wametoka kupasha kwenye Uwanja wa George V mjini Curepipe, Mauritius.

Awali kulikuwa na hofu huenda mechi kati ya Yanga na Cercle de Joachim SC ikasogezwa mbele kwa saa moja kutokana na mvua kubwa iliyonyesha katika mji wa Curepipe.

Uwanja ulikuwa umejaa maji, huenda kuna taratibu zitafanyika kuweka mambo safi ili mechi ichezwe.


Wakati mvua hiyo inaanza, tayari Yanga ilikuwa imetua uwanjani hapo tayari kabisa kwa mechi.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic