February 9, 2016

MINGANGE AKIWA NA KIKOSI CHA MBEYA CITY

Pamoja na Kocha Kinnah Phiri kusaini mkataba wa miaka mitatu kuinoa Mbeya City, kocha Abdul Mingange ataendelea kubaki.

Mingange atabaki pamoja na kuendelea kuitumikia Mbeya City hadi hapo itakapotangazwa baadaye.
Taarifa za klabu hiyo zimesema, Mingange ambaye amepata msiba mkubwa wa kufiwa na mwanaye, ataendelea kuwa ndani ya kikosi hicho.

“Mingange ni sehemu ya benchi la ufundi la Mbeya City hadi hapo itakapotangazwa kama kuna chochote.”


Phiri ambaye ni kocha maarufu wa Malawi, ndiye kocha mpya wa City, timu yenye mashabiki wengi zaidi jijini Mbeya.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic