February 14, 2016


Simba imeanza safari ya kwenda Morogoro ambako itaweka kambi yake kwa ajili ya kujiandaa kabla ya mechi yao ya Jumamosi dhidi ya watani wao Yanga.

Simba imeondoka Shinyanga leo asubuhi ikiwa imekamilisha kazi yake ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Stand United.

Sasa iko kileleni mwa Ligi Kuu Bara, inakutana na wapinzani wake Yanga wakiwa na kiporo cha mechi moja.


Kikosi cha Simba kinasafiri kwenda Morogoro kuweka kambi hiyo, tofauti na awali Simba ilikuwa ikiweka kambi yake mjini Zanzibar.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic