February 13, 2016


Mabingwa wa Tanzania, Yanga wako tayari kwa ajili ya mechi yao ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Cercle de Joachim SC ambao ni mabingwa wa Mauritius. 


Baada ya chakula cha mchana, wachezaji wa Yanga walipata nafasi ya kutembea hapa na pale wakinyoosha miguu kiana katika mitaa michache ya mji wa Curepipe. Baada ya hapo ilikuwa ni safari ya kwenda kwenye Uwanja wa George V. Cheki mapichazzzz.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic