March 30, 2016

HAYE AKITANGAZA KUTOA KIPATO CHAKE...
 Wakati bondia nyota wa England, David Haye akiwa katika maandalizi ya pambano lake dhidi ya bondia asiyepigiga kutoka Kosovo-Albania,  Arnold 'The Cobra' Gjergjaj, ametangaza asilimia 10 ya kipato chake katika pambano hilo atatoa kwa bondia Nick Blackwell.

Blackwell yuko kitandani taabani baada ya kipigo kikali alichokipata katika pambano lake dhidi ya Chris Bank Junior.

Bondia huyo alianguka akiwa ulingoni na baadaye kukimbizwa ICU.
BLACKWELL

EUBANK JR AKIMCHAKAZA BLACKWELL


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic