Neymar anapenda masumbwi! Picha alizotupia mtandaoni zimewashangaza wengi kuona mshambuliaji huyo wa Barcelona akijifua kama bondia maarufu.
Neymar raia wa Brazil ambaye huonekana ni “Braza men”, ameonekana akifanya mazoezi ya ngumi katika gym iliyo nyumbani kwake.
0 COMMENTS:
Post a Comment