March 24, 2016

  • TAMBWE
    • Pamoja na mashabiki wengi wa soka nchini kuonekana wana hofu kubwa na Al Ahly, wao pia wameonekana kuwa na hofu kubwa na Yanga.
    • Kikundi cha mashabiki wa Al Alhy maarufu kama Ultras kimekuwa kikijadili wachezaji wa Yanga kupitia mitandao mablimbali ya mashabiki hao.
    • Amissi Tambwe amekuwa gumzo ingawa wamekosea baada ya kusema ndiye anayeongoza kwa upachikaji mabao.
    • Mashabiki hao wanajaribu kuangalia namna ambavyo safu ya ulinzi inavyoweza kumzuia kwa kuwa anaonekana ni hatari.

    • Mashabiki wengine wamezungumzia kuhusiana na Tambwe, alivyoibuka mfungaji bora wa Kagame Cup kabla ya kuja Tanzania alipokuwa akiichezea Vital’O ya Burundi.
    • Wako ambao wamekuwa na imani na kikosi chao na wale ambao wana hofu na mshambuliaji huyo huku wakitolea mfano wa makosa kadhaa ambayo yamekuwa yakifanywa na safu yao ya ulinzi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic