April 30, 2016

 

La Liga inazidi kuwa ngumu baada ya Barcelona kuitwanga Real Sociedad kwa mabao 2-0.

Mabao mawili ya Barcelona yamefungwa na Ivan Raktic na mkali wa kutikisa nyavu, Luis Suarez ambaye alipokea pasi murua ya Lionel Messi.


Licha ya ushindi wa Real Madrid na Atletico Madrid, Barcelona inaendelea kukaa kileleni baada ya kushinda bao hizo mbili.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic