Kikosi cha timu ya soka ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, kiko uwanjani sasa hivi kuwavaa Marekani.
Mechi hiyo ni ile ya michuano ya vijana inayofanyika nchini India.
Mechi hiyo imeanza saa 7:30 kwa saa za Afrika Mashariki na mechi inaelezwa kuwa na ushindani. Tutaendelea kuwajuza.
0 COMMENTS:
Post a Comment