YANGA HAWA HAPA WANAPIGA MSOSI, BAADA YA HAPO NI UWANJANI Yanga wanapiga msosi katika hoteli ya Diamante, baada ya hapo safari kwenda Uwanjani kuwavaa Esperanca katika mechi ya pili ya Kombe la Shirikisho.
0 COMMENTS:
Post a Comment