Brazil imemtimua kocha Carlos Dunga baada ya kikosi hicho kushindwa hata kuingia hatua ya mtoano ya Copa America.
Shirikisho la Soka la (CBF), rasmi limetangaza kumfuta kazi Dunga mwenye umri wa miaka 52 baada ya kikosi chake kuboronga katika michuano hiyo inayoendelea nchini Marekani.
0 COMMENTS:
Post a Comment