Serena Williams sasa hakamatiki katika mchezo wa tenisi baada ya kumtwanga Mjerumani, Angelique Kerber na kubeba taji la 22 la Wimbeldon. Haikuwa kazi rahisi kwa kuwa Kerber alikuwa fiti lakini Serena alikomaa kwelikweli na kuonyesha ujuzi, akammaliza mapema kabisa.
0 COMMENTS:
Post a Comment