July 17, 2016



Azam FC inaonekana bado haijaridhika sawa kuhusiana na safu yake ya ulinzi baada ya kumshusha beki ‘kitasa’ kutoka ncini Niger kufanya majaribio.

Mohamed Chicoto amewasili jana kuanza majaribio chini ya Kocha Zeben Hernandez raia wa Hispania akiwa na jopo lake.

Wachezaji kadhaa wamekuwa wakitua Azam FC hasa kutokea Afrika Magharibi kwa ajili ya kufanya majaribio ili kupata nafasi ya kuitumikia timu hiyo msimu ujao.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic