OKWI AKIWA AMEPOZI NA SHEMEJI YENU KATIKA PICHA MPYA KABISA Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Mganda Emmanuel Okwi ambaye sasa anachezea Klabu ya Sonderjyske ya nchini Denmark akiwa kwenye pozi na mkewe, Florence Nakalegga, hivi karibuni.
0 COMMENTS:
Post a Comment