Ommy Dimpoz ametupia picha akiwa na Wayne Rooney huko Ibiza nchini Hispania.
Lakini wengine wanaonekana kuwa na hofu kama kweli huyo ni Rooney, lakini wengine wanaonekana kama hawaamini kwamba huenda anafanana tu na Rooney.
Lakini kweli Rooney yuko mapumzikoni huko Ibiza akiwa na mkewe Collen.
0 COMMENTS:
Post a Comment