July 11, 2016


Pamoja na kuumia kwa nahodha wake, Cristiano Ronaldo katika dakika ya 16 tu, Ureno imefanikiwa kuwatwanga wenyeji Ufaransa kwa bao 1-0 na kubeba ubingwa wa Euro 2016.

Ureno ambao walipata sare tatu hatua ya makundi na kuvuka hadi hatua ya 16 bora, wamepambana bila Ronaldo kwa dakika zote zikiwemo 30 za nyongeza baada ya sare ya 0-0 katika dakika 90 na kufanikiwa kubeba kombe hilo.


Portugal (4-1-3-2): Patricio 8, Soares 7, Pepe 9, Fonte 8, Guerreiro 8, Carvalho 8, Sanches 7 (Eder 78, 9), Silva 7.5 (Moutinho 60, 7), Joao Mario 7, Nani 7, Ronaldo 6 (Quaresma 25, 7).
Subs not used: Lopes, Alves, Carvalho, Vieirinha, Andre Gomes, Rafa, Eliseu, Eduardo, Danilo.
Goal: Eder 109 
Booked: Patricio, Soares, Fonte, Guerreiro, Carvalho, Joao Mario.
Manager: Fernando Santos 9 
France (4-2-3-1): Lloris 7, Sagna 6.5, Koscielny 7, Umtiti 7, Evra 6, Pogba 5, Matuidi 7.5, Sissoko 8 (Martial 110, 6), Griezmann 5.5, Payet 7 (Coman 58, 7.5), Giroud 5.5 (Gignac 78, 7).
Subs not used: Mandanda, Jallet, Rami, Kante, Cabaye, Schneiderlin, Mangala, Digne, Costil.
Booked: Koscielny, Umtiti, Pogba, Matuidi. 
Manager: Didier Deschamps 6 
Referee: Mark Clattenburg (England) 7
Attendance: 75,868
























0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic