August 21, 2016



Mbwana Samatta ameendelea kuonyesha kwamba uwezo anao baada ya kufunga mabao mawili wakati kikosi chake cha Genk kikiitwanga Lokeren katika Ligi Kuu ya Ubelgiji kwa mabao 3-0.

Leon Bailey ndiye alifunga bao la tatu lakini Samatta alitumia dakika nne kufunga mabao yake mawili akianza na lile la dakika ya 34 kabla ya kufunga tena dakika ya 38.


Ushindi huo unaifanya Genk izidi kuwa imara huku Samatta aliyejiunga na timu hiyo akitokea TP Mazembe ya DR Congo akizidi kujenja imani kwamba anaweza na anastahili kuwa anaanza kama ilivyokuwa leo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic