PICHA YA SIKU; WACHEZAJI WAWILI WA HULL CITY WARUKA NA KUPIGA TIK TAK PAMOJA, HAWAKUPANGA! Hernandez na Diomande wa Hull City wakiruka kupiga tik tak kwa pamoja wakati wa mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya Leicester City. Hull City walishinda kwa mabao 2-1 na kuwaduwaza mabingwa hao.
0 COMMENTS:
Post a Comment