August 25, 2016


Mbwana Samatta ambaye ni nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, amefunga bao na kuisaidia KRC Genk ya Ubeligiji kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Lokomotiva ya Zagreb.

Bao la Samatta lilikuwa mapema kabisa katika dakika ya kwanza ya mechi hiyo ya mchujo kuwania kucheza Europa.


Bao la pili, pia lilifungwa mapema katika kipindi cha pili na pacha wa Samatta, Leon Bailey.


Samatta ameonekana kuwa msaada mkubwa katika upachikaji mabao katika kikosi cha Genk.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic