September 16, 2016

Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea wikiendi hii ambapo kutakuwa na mechi kadhaa Jumamosi na Jumapili, Simba bado ipo kileleni katika msimamo wa ligi hiyo ikiwa pointi sawa na Azam FC, jambo zuri ni kuwa timu hizo zitakutana kesho, hivyo yeyote atakayeshinda atashika usukani.

Msimamo wa ligi hiyo na mechi za wikiendi hii unasomeka hivi:


3 COMMENTS:

  1. Acha unazi kwa kulazimisha S itangulie kwa A!
    Anayeongoza ni Azam kwani herufi yake ndio ya kwanza kuliko Simba.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ila kweli ilipaswa kuanza azam,salehe rekebisha hapo ili kutunza heshima mzee.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic