September 8, 2016



Makocha Zinedine Zidane na Diego Simeone wanaongoza kwenye jura za makocha wenye heshima kubwa kwenye La Liga nchini Hispania.

Makocha hao, wamepata jura nyingi zaidi kupitia mtandao katika shindano linaloendeshwa na kampuni kubwa katika mawasiliano na upigaji jura kwenye mitandao ya Comunicar es ganar, maarufu kama wasiliana na ushinde.


Simeone anaongoza kwa kuwa na asilimia  78.6 kati ya 100 na Zidane anafuatia akiwa na 74.3.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic