September 20, 2016


Nahodha wa Chelsea, John Terry ameanza maandalizi makali kuhakikisha anaivaa Arsenal wikiendi hii.

Terry amekuwa majeruhi na kuifanya safu ya ulinzi ya Chelsea kukosa mzoefu.Sasa anapewa mazoezi maalum, ili awe fiti na kuwavaa vijana wa Arsenal Wenger.

Chelsea itakuwa dimbani kuwavaa Arsenal na italazimika kufanya vizuri baada ya kupoteza mechi iliyopita kwa kufungwa na Liverpool.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic