October 4, 2016


Rigobert Song anaendelea vizuri baada ya kuwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) baada ya kuanguka akiwa nyumbani kwake Younde nchini Cameroon.

Song ambaye ni beki wa zamani wa Liverpool na Cameroon alisafirishwa Ufaransa kwa ajili ya matibabu.


Beki huyo ameelezwa kwamba sasa angalau ameweza kupumua na hali ambayo inaonyesha nafuu kubwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic