October 27, 2016



Gerard Pique na Andres Iniesta ni majeruhi na hawataitumikia Barcelona katika mechi zijazo kwa kipindi kadhaa, lakini wameendelea na kazi nyingine.

Iniesta aliyeumia katika mechi dhidi ya Valencia na Pique aliyeumizwa na David Silva wa Man City, wameendelea kufanya kazi za matangazo ya magari ya Audi.

Hii inaonyesha klabu hizo zilivyo busy na makini na zinaendelea kuingiza fedha kupitia wachezaji hao hats kama hawachezi.


Wachezaji hao walijumuika na Lionel Messi kwa ajili ya utengenezaji wa tangazo la magari ya Audi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic