November 19, 2016



Cristiano Ronaldo ameamua kujifua na mtoto wake mwenye umri wa miaka 6 ikiwa ni sehemu ya kuelekea kwenye mechi dhidi ya Atletico Madrid.


Gumzo ni Madrid na Atletico msimu huu, Ronaldo amekuwa akitupia picha mtandaoni akionekana akiwa na mwanaye huyo gym.

Leo, mechi hiyo itapigwa kwenye Uwanja wa Vicente Calderon katika jiji la Madrid nchini Hispania.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic