November 28, 2016


Kiungo nyota wa Liverpool hatafanyiwa upasuaji baada ya kuumia enka katika mechi iliyopita.

Lakini kuna mechi zifuatazo ambazo hakuna mjadala lazima atazikosa kwa kuwa atakaa nje kwa wiki sita au mwezi mmoja na nusu.

Leeds United (H) EFL Cup quarter final - November 29
Bournemouth (A) PL -  December 4
West Ham (H) PL -  December 11
Middlesbrough (A) PL - December 14
Everton (A) PL - December 19
Stoke (H) PL - December 27
Manchester City (H) PL - December 31
Sunderland (A) PL - January 2 





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic