November 28, 2016


Kocha George Lwandamina rasmi leo ameanza kazi ya kukinoa kikosi chake cha Yanga kwa mara ya kwanza.

Lwandamina raia wa Zambia ameanza kazi kwenye Uwanja wa Chuo cha Polisi Kilwa Road jijini Dar es Salaam.



Awali, uongozi wa Yanga ulimficha kocha huyo hadi blog hii ya SALEHJEMBE ilipomfichua na kufanya naye mahojiano ya kwanza.



Ameanza kazi ikiwa ni mara ya kwanza baada ya likizo ambayo walipewa na aliyekuwa kocha mkuu, Hans van der Pluijm.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic