November 9, 2016



Kuna viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wanatarajia kupandishwa kizimbani leo.

Taarifa zinaeleza viongozi hao watapandishwa kizimbani baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi wake na kukamilika.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic