Kipa wa West Ham, Adrian jana alimrukia mshambuliaji mkongwe wa Man United, Zlatan Ibrahimovic wakati akifunga bao lake la kwanza katika mechi ya EFL ambayo Man United ilishinda kwa mabao 3-1.
Adria alimrukia Zlatan vibaya na huenda angeweza kumvunja mguu au kumjeruhi vibaya mshambuliaji huyo Mswidi.
duuh
ReplyDelete