December 5, 2016



Kinda wa Mbao FC ya Mwanza, Ismail Mrisho Khalfan amefariki dunia leo baada ya kuanguka uwanjani alipogongana na beki wa Mwadui FC katika michuano ya Ligi ya Vijana U20 inayoendelea.


Khalfan aligongwa kidogo tu na nahodha wa Mwadui FC wakati akijaribu kuwania naye mpira. Usingeweza kudhani ni tatizo lakini Mwenyezi Mungu ni mkubwa na akiandika, hakuna mjadala. Angalia hii video.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic