January 17, 2017


Mashabiki wa Man United, wameiandikia barua klabu yao wakiitaka kuzungumza na wadhamini wao, Adidas kuacha kumchanganya kiungo Paul Pogba.

Mashabiki hao wamesisitiza kuwa Pogba amekuwa busy na kunyoa mitindo mipya ya nywele kila wiki ili kumfanya awe gumzo na kuitangaza Adidas.

Adidas ambayo ni kampuni kubwa zaidi ya vifaa vya michezo duniani, inamdhamini Pogba kama ilivyo kwa Man Unites.


Hivi karibuni, Adidas imeelezwa kuwa ikifanya mipango ya kila aina kufanya Pogba awe maarufu zaidi ili nayo iendelee kujitangaza zaidi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic