March 28, 2017


Taifa Stars imeitwanga timu ya taifa ya Burundi kwa mabao 2-1 katika mechi ya kirafiki ya kimataifa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Ilikuwa mechi nzuri kila upande ukitaka kushinda. Cheki pichaaaz.











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic