April 22, 2017


Beki wa kati ya Chelsea, Kurt Zouma alionelana kama mwendawazimu baada ya kiungo wa Chelsea, Nemanja Matic kufunga bao la nne dhidi ya Tottenham.

Chelsea imeitwanga Tottenham kwa mabao 4-2 na kutonga fainali ya Kombe la FA.

Matic alifunga bao la nne kwa mkwaju mkali kabisa, mpira ukigonga kwenye engo la goli na kutonga wavuni.

Zouma alishangilia kwa staili ya aina yake utadhani ni mwendawazimu na kuzua gumzo mitandaoni.


Zoume raia wa Ufaransa alikuwa kati ya wachezaji wa Chelsea ambao hawakucheza leo lakini walikuwa kwenye Uwanja wa Wembley kushuhudia pambano hilo.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic