April 24, 2017



Watu wengi wangependa kujua ambacho Sergio Ramos wa Real Madrid alichomueleza Gerard Pique wa Barcelona.


Ramos alipigwa kadi nyekundu baada ya kumkwatua Lionel Messi, alipokuwa anatoka alionekana akizungumza maneno fulani hivi.

ESPN wameyanasa na kutatafsiri kwamba alisema hivi: "Hiyo faulo ni Kwa ajili yako maana unachonga sana, nakusubiri nje, utanikuta." ESPN

Mechi iliisha kwa Barcelona iliyokuwa ugenini kushinda kwa mabao 3-2, Messi akiwa amefunga mawili.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic