April 25, 2017



Msemaji wa Simba, Haji Manara, atakata rufaa kupinga adhabu ya kufungiwa mwaka mmoja.

Kama ya Nidhamu ya TFF, imemfungia Manara mwaka mzima na kumpiga faini ya Sh milioni 9, hali iliyowashitua wadau wengi wa soka nchini.

Lakini rafiki wa karibu wa Manara ameioambia SALEHJEMBE kuwa Manara atakata rufaa.

"Namjua Haji, ni mbishi na hawezi kukubali. Laizma atakata furaa katika hili.

"Pia nimemsikia akisema hatakubali kuonewa, hali inayonifanya niamini lazima atakata rufaa," kilieleza chanzo.

Kamati hiyo imemfungia Manara kwa madai ya utovu wa nidhamu, jambo ambalo yeye amelipinga kabisa akilinganisha ya uonevu wa wazi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic