April 24, 2017




Unaweza ukashangaa kama kweli huyu ni yeye?

Lakini ukweli wa takwimu unaonyesha beki wa Barcelona, Gerard Pique ndiye mchezaji aliyekimbia kasi zaidi katika mechi ya El Clasico, jana.

Katika mechi hiyo, Madrid ikiwa nyumbani ilipoteza kwa kufungwa mabao 3-2.

Pique ambaye anaamini ni mchezaji asiye na kasi ndiye alikimbia kasi mara nyingi zaidi na kufikisha wastani wa kilomita 33.33 kwa saa.

Baada ya Pique, aliyemfuatia ni mchezaji kinda wa Real Madrid, Marco Asensio aliyekimbia wastani wa km 33.22 kwa saa.


Nyota wa Madrid, Cristiano Ronaldo amefuatia kwe kukimbia kilomita 33.14 kwa saa akifuatia na Lionel Messi aliyepiga mwendo wa 33.11 kwa saa na hii ni kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na La Liga.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic