May 25, 2017





KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa ujio wa kipa mkongwe, Juma Kaseja kwenye usajili wa dirisha dogo ulikiimarisha kikosi chake na kusababisha kumaliza Ligi Kuu Bara katika nafasi ya tatu kwenye msimamo.


Maxime aliongeza , mshambuliaji Ame Ally na Fakhi waliotua kwenye usajili huo wakitokea Simba nao walitoa mchango mkubwa katika timu hiyo na kuiwezesha Kagera kumaliza kwenye nafasi hiyo ya tatu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic