May 25, 2017






KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa ujio wa kipa mkongwe, Juma Kaseja kwenye usajili wa dirisha dogo ulikiimarisha kikosi chake na kusababisha kumaliza Ligi Kuu Bara katika nafasi ya tatu kwenye msimamo.

Maxime aliongeza , mshambuliaji Ame Ally na Fakhi waliotua kwenye usajili huo wakitokea Simba nao walitoa mchango mkubwa katika timu hiyo na kuiwezesha Kagera kumaliza kwenye nafasi hiyo ya tatu.
Naye Msemaji wa Ruvu Shooting, Masau Bwile amekanusha taarifa zilizoonea kuwa ni yeye shabiki wa Simba.

“Niseme tu, Simba, Yanga na Azam FC zilinifuata kwa ajili ya kufanya kazi ya usemaji kwenye timu zao na nikakataa, halafu niwaambie wadau wa soka kuwa mimi siyo shabiki wa Simba,”alisema Bwile.
mwisho 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic