August 21, 2017


Manchester City iko uwanjani kuivaa Everton FC katika mechi ya Ligi Kuu England.

Kocha Mkuu wa Man United, Jose Mourinho akiwa na msaidizi wake, Faria wako uwanjani Etihad wakiishuhudia mechi hiyo.

Mourinho anaonekana akiwa amevaa kofia ikiwa inamaanisha hakupenda watu wengi wajue yuko uwanjani hapo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic