August 21, 2017

KATIBU MKUU WA YANGA, CHARLES BONIFACE MKWASA

Ikiwa imebaki siku moja katikati Yanga kuivaa Simba katika mechi ya Ngao ya Jamii, uongozi wa Yanga umeamka na kutangaza vita kwa wale wanaouza jezi au vifaa vyenye nembo yake.

Uongozi wa Yanga umetoa tangazo maalum kuwataka wauzaji na waingiza vifaa nchini kukutana na uongozi wa klabu hiyo.

Lakini hapohapo ukatoa onyo la watu kuuza vifaa vyake kwamba watachukuliwa hatua za kisheria na kuwaita ni wahujumu.


Kawaida, kabla ya mechi ya watani, wauzaji wengi wa nguo hujitokeza wakitegemea kupata fedha kutokana na ushindani wa kipindi husika.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic