September 23, 2017

Ukisema ni mwezi wa tabu kwa Wayne Rooney si vibaya, lakini bado unaweza kuwa mwaka wa tabu maana matukio ni mfululizo.

Baada ya kuonekana hafai Man United na kurejea Everton, Rooney alianza kwa kufunga bao lake la kwanza Tanzania na wengi wakategemea mfululizo wa mabao, mwisho sasa hafungi kabisa.
Wakati hive karibuni alipata kasha ya kuwa na mchepuko, leo Rooney kaingia kwenye balsa jingine baada ya kupigwa kiwiko na beki wa Bournemouth, Simon Francis.
Rooney aliumia jicho na kujaa damu, mwisho alibadilishiwa fulana lakini akatolewa ili kumuangalia afya yake.

Mwisho wa mchezo, Everton ilishinda 2-1 ikiwa nyumbani lakini Rooney akawa hajaisaidia timu yake baada ya kutolewa.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic