October 23, 2017


Kama unataka kuwaona watani wa jadi, Yanga na Simba wakivaana Oktoba 28 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, unalazimika kuwa na Sh 10,000 au mara mbili ya hiyo, yaani Sh 20,000.

Kiingilio cha mzunguko ni Sh 10,000 wakati jukwaa kuu lenye pande mbili za Yanga na Simba litakuwa Sh 20,000.


Inaonekana hakutakuwa na viingilio vya chini kama Sh 5,000 kwa kuwa uwanja ni mdogo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic