PICHA HIZI HAPA AJIBU ALIVYOINYANYASA STAND UNITED, BUSWITA, CHIRWA WAKIMALIZIA "MAUAJI" Yanga imeitwanga Stand United kwa mabao 4-0, Ibrahim Ajibu akiwa shujaa baada ya kufunga mabao mawili safi. kabisa. Katika mechi hiyo kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga, mabao mengine ya Yanga yalifungwa na Pius Buswita na Obrey Chirwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment