November 18, 2017


Wakati Manchester United imepata ushindi mnono wa maabo 4-0 dhidi ya Newcastle, mshambuliaji wake, Zlatan Ibrahimovic aliyekuwa majeruhi amerejea.

Zlatan amerejea na kuichezea Man United kwa mara nyingine na kuamsha matumaini kwa mashabiki wengi wa Man United.

Katika mechi hiyo, Zlatan hakufunga lakini alionyesha uhai na matumaini ya juu kwa mashabiki wa Man United. 




1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic