January 24, 2018


Alexis Sanchez ametua Man United na ili kuonyesha kweli amejiunga na klabu hiyo na hatanii, ameamua kuivisha familia yake jezi za Man United.


Pamoja na mtoto wake, mbwa wake wawili nao wameonekana wakiwa “wameng’ara” ndani ya uzi wa Man United ambayo ni ofisi yake mpya akitokea Arsenal.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic