January 16, 2018



Beki Salim Mbonde wa Simba, ameanza mazoezi ya gym ili kujiweka sawa.
Mbonde ambaye amekuwa majeruhi, ameanza kufanya mazoezi gym na anatarajuwa kurejea uwanjani wiki ijayo.


Atakaporejea uwanjani atafanya mazoezi ya taratibu kuhakikisha akirejea kwa wakati mzuri.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic