February 18, 2018




Wachezaji, viongozi na wadau wa Coastal Union wamekutana na kufurahia pamoja ikiwa ni kupongezana baada ya kurejea tena Ligi Kuu Bara.

Nassor Bin Slum, mdau wa mkubwa wa klabu hiyo aliwaandalia wachezaji, viongozi na wadau hafla ambayo walisherekea pamoja ikiwa ni pamoja na wachezaji na makocha kupewa tuzo.

Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya kisasa ya Tanga Beach Resorts na tuzo zikatolewa.


Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Thomas Mwilapa ndiye alikuwa mgeni rasmi na alikabidhi tuzo hizo kutoka kwa Bin Slum.


















0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic