February 18, 2018



Kikosi cha Simba kimetua nchini Djibouti usiku huu.

Pamoja na kuondoka nchini mchana wa leo, kikosi hicho kililazimika kusubiri kwa muda mwingi jijini Nairobi.

Wachezaji wa Simba wametua usiku huu kwa ajili ya mechi ya Jumanne dhidi ya Gendamarie.


Mechi hiyo ya Kombe la Shirikisho itachezwa Jumanne.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic